WhatsApp Blog
sw
Chagua lugha yako
  • Azərbaycanca
  • Afrikaans
  • Bahasa Indonesia
  • Bahasa Melayu
  • Català
  • Česky
  • Dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • Español
  • Français
  • Gaeilge
  • Hrvatski
  • Italiano
  • Kiswahili
  • Latviešu
  • Lietuviškai
  • Magyar
  • Nederlands
  • Norsk
  • Oʻzbekcha
  • Pilipino
  • Polski
  • Português (BR)
  • Português (PT)
  • Română
  • shqip
  • Slovenčina
  • Slovenščina
  • suomi
  • svensk
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • Български
  • Қазақ
  • Македонски
  • Pусский
  • српски
  • Українська
  • ‏עברית‏
  • العربية
  • فارسی
  • اردو
  • বাংলা
  • हिंदी
  • ગુજરાતી
  • ಕನ್ನಡ
  • मराठी
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • മലയാളം
  • ภาษาไทย
  • 简体中文
  • 繁體中文
  • 日本語
  • 한국어
  • WhatsApp Web
  • Vipengele
  • Pakua
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Pakua
  • Vipengele
  • Usalama
  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Kuwa karibu

WhatsApp Blog

Kusherekea Mwaka Mmoja wa Whatsapp Business na Vipengele Vipya vya Web na Desktop

Mnamo Januari mwaka jana tulianzisha programu ya WhatsApp Business, na sasa kuna biashara zaidi ya milioni tano zinazoitumia ili kuwasaidia wateja, kukuza biashara zao na kutumikia jumuiya zao duniani kote. Tunafurahi kwamba tumeisaidia kukuza mamilioni ya biashara. Kwa mfano, nchini India, Glassic ambayo ni aina ya miwani kutoka Bengalaru - imetuambia kwamba asilimia 30 ya mauzo yake mapya yamezalishwa kwa njia ya WhatsApp Business.

Ili kusaidia kusherehekea mwaka wa kwanza wa WhatsApp Business, tunatangaza kwamba baadhi ya vipengele vyetu maarufu zaidi sasa vinaweza kutumika kwenye Whatsapp Web na Desktop. Makala haya ni pamoja na:

  • Jibu haraka: Hizi ni jumbe zinazotumiwa mara nyingi kujibu maswali ya kawaida. Bonyeza tu "/" kwenye kicharazio chako ili kuchagua jibu la haraka na kutuma.
  • Lebo: Panga waasiliani wako au soga zenye lebo, ili uweze kuzipata tena.
  • Orodha ya Kuchuja Soga: Udhibiti kwa urahisi soga zako na vichujio ili kupanga kwa soga usizosoma, vikundi au orodha za matangazo.

Kutumia vipengele hivi kwenye kompyuta husaidia biashara kuokoa muda na kurudi kwa wateja wao haraka. Tunafurahi kuendelea kukuza WhatsApp Business na kuanzisha vipengele vipya vinavyofanya iwe rahisi kwa wateja kupata na kushirikiana na biashara ambazo ni muhimu kwao.

Januari 24, 2019
Mtwito

Chapisho za karibuni

WhatsApp

  • Vipengele
  • Usalama
  • Pakua
  • WhatsApp Web
  • Biashara

Shirika

  • Kuhusu
  • Kazi
  • Kituo cha Bidhaa
  • Kuwa karibu
  • Blog
  • Hadithi za WhatsApp

Pakua

  • Mac/PC
  • Android
  • iPhone
  • Windows Phone

Msaada

  • Maswali Yanayoulizwa Sana
  • Twitter
  • Facebook
2019 © WhatsApp Inc.
Faragha na Masharti