Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Matokeo ya Utafutaji
Blogu ya WhatsApp

Tunakuletea ujumbe unaotoweka kwenye WhatsApp

Kufikia leo, ujumbe wa WhatsApp hukaa daima kwenye simu zetu. Ingawa hali hiyo ni muhimu katika kudumisha kumbukumbu kutoka kwa familia na marafiki zetu, ujumbe mwingi tunaotuma haufai kudumu milele.

Lengo letu ni kufanya mazungumzo kwenye WhatsApp yahisi kama mazungumzo ya ana kwa ana kadri inavyowezekana, hii ina maana kwamba hayafai kubaki milele. Ndiyo maana tunafuraha kukuletea chaguo la ujumbe unaotoweka kwenye WhatsApp.

Hali ya ujumbe unaotoweka ikiwa imewashwa, ujumbe mpya unaotumwa kwenye soga utatoweka baada ya siku 7, hivyo kufanya mazungumzo yawe mepesi na ya faragha zaidi. Katika soga ya mtu na mwenzake, yeyote kati yao anaweza kuwasha au kuzima hali ya ujumbe unaotoweka. Katika vikundi, wasimamizi watakuwa na udhibiti.

Tunaanza kwa siku 7 kwa sababu tunafikiri kwamba itatoa utulivu wa akili ukijua kuwa mazungumzo hayatahifadhiwa milele, na pia yatadumu kwa muda wa kutosha hivi kwamba hutasahau soga ilihusu nini. Orodha ya bidhaa za kununua au anwani ya ilipo duka uliyopokea siku chache zilizopita itaendelea kuwepo unapoihitaji, kisha itatoweka wakati huihitaji. Unaweza kusoma zaidi, ikiwa ni pamoja na jinsi ya kuwasha hali ya ujumbe unaotoweka hapa.

Tunataraji watu watafurahia hali ya ujumbe unaotoweka, hali hii itaanza kupatikana kwa watumiaji kila mahali mwezi huu.

Tarehe 5 Novemba, 2020

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)