Tarehe 16 Julai, 2024

Kuangazia vipendwa vyako kumerahisishwa zaidi kwenye WhatsApp. Kuanzia leo, unaweza kupata kwa haraka watu na vikundi ambavyo ni muhimu zaidi juu ya kichupo cha simu zako na kama kichujio cha gumzo zako.
Iwe ni gumzo la kikundi cha familia yako au rafiki yako mkubwa, ‘vipendwa’ vyako vitafanana kwenye gumzo na simu zako, kwa hivyo unaweza kuzipiga kwa haraka kutoka kwenye kichupo cha simu zako pia.
Ili uongeze kwenye 'vipendwa':
Tunaanzisha kutoa kwa watumiaji leo, na vitapatikana kwa kila mtu katika wiki zijazo.