Pakua
Vipengele
Kupiga simuUjumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalama
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidiziKwa Biashara
Ingia
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Ufumbaji wa Nakala ya Soga ya WhatsApp Umekuwa Rahisi Zaidi

Wengi wetu huweka kumbukumbu za miaka mingi katika soga zetu za WhatsApp – picha, madokezo ya sauti yanayobeba hisia na mazungumzo muhimu. Kwa hivyo ni muhimu kuzilinda ikiwa utapoteza simu yako au iwapo unahitaji kuzihamisha kwenye kifaa kipya.

WhatsApp ilikuwa programu ya kwanza ya ujumbe wa faragha kutoa ufumbaji wa mwisho hadi mwisho kwenye nakala yako ya soga ili uwe na ujumbe wako wa zamani. Leo, tunarahisisha zaidi kuliko hapo awali kuweka usalama wa ziada kwenye nakala ya soga zako kwa kuanzisha nakala ya ufunguo wa usalama uliofumbwa.

Funguo za siri zitakuruhusu utumie mbinu ya alama za vidole, uso au msimbo wa kufunga skrini ili ufumbe nakala zako za soga badala ya kutumia nenosiri au ufunguo wa ufumbaji wenye tarakimu 64 ambao ni mgumu kukumbuka. Sasa, kwa kugusa tu au kutazama, usalama ule ule unaolinda soga na simu zako za binafsi kwenye WhatsApp unatumika kwenye nakala ya soga zako ili ziwe salama kila wakati, zinazoweza kufikiwa na za faragha.

Hii itatolewa hatua kwa hatua katika wiki na miezi ijayo. Ili kuanza, nenda kwenye Mipangilio > Soga > Nakala ya soga > Nakala iliyofumbwa mwisho hadi mwisho.

30, Oktoba 2025

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma Zetu

VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara

Sisi ni nani

Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha

Tumia WhatsApp

AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web

Unahitaji msaada?

Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap