Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Tunakuletea Faragha ya Kina ya Gumzo: Ulinzi Ulioimarishwa kwa Mazungumzo Yako Nyeti Zaidi

Msingi wa faragha kwenye WhatsApp ni kwamba ujumbe na simu zako za kibinafsi zinalindwa kwa usimbaji fiche wa mwisho hadi mwisho ili kwamba mtumaji na mpokeaji pekee ndio wanaoweza kuziona, kuzisikiliza au kuzishiriki. Kuanzia hapo, tumeunda safu nyingi za faragha, kama vile ujumbe unaotoweka na kufunga soga, ambazo hupeleka faragha hatua moja zaidi.

Leo tunakuletea safu yetu ya hivi karibuni zaidi ya faragha inayoitwa "Faragha ya Kina ya Gumzo." Mpangilio huu mpya unaopatikana katika soga na vikundi husaidia kuwazuia watu wengine kupeleka maudhui nje ya WhatsApp wakati ungependa faragha zaidi.

Wakati mpangilio huo umewashwa, unaweza kuwazuia wengine wasihamishe soga, kupakua kiotomatiki midia kwenye simu zao, na kutumia ujumbe kwa vipengele vya AI. Kwa njia hiyo kila mtu kwenye soga ana imani kubwa kwamba hakuna mtu anayeweza kupeleka kile kinachosemwa nje ya soga.

Vikundi vya WhatsApp vinazidi kuwa upanuzi wa mitandao yetu ya ulimwengu halisi, ambayo baadhi iko karibu zaidi kuliko mingine. Tunafikiri kipengele hiki kinatumika vyema zaidi unapozungumza na vikundi ambapo huenda usijue kila mtu kwa karibu lakini hata hivyo ni nyeti kimaumbile, kama vile kuzungumzia changamoto za kiafya katika kikundi cha usaidizi au kupanga jumuiya yako kuhusu jambo muhimu kwako.

Unaweza kuwasha kipengele hiki kwa kudonoa jina la soga, kisha kudonoa Faragha ya Kina ya Soga. Hili ni toleo la kwanza la kipengele hiki na tunapanga kuongeza vitu zaidi katika toleo hili ili hatimaye kijumuishe ulinzi hata zaidi.

Mpangilio huu mpya unaanza kutumika kwa kila mtu kwenye toleo la hivi karibuni la WhatsApp.

Tarehe 23 Aprili 2025

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)