Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Tafuta kwenye Wavuti

WhatsApp inatoa lebo maalumu ya kusambaza kwenye ujumbe ulioshirikishwa kwa soga na ulisambazwa mara nyingi. Mishale hii miwili inasaidia watu kujua wanapopokea ujumbe ambao haukuandikwa na mwasiliani wa karibu. Mapema mwaka huu, tuliweka kikomo kwa mara ngapi zinaweza kutumwa kwa mara moja ili kutunza hali ya faragha ya WhatsApp.

Leo, tunaanzisha njia rahisi ya kuangalia mara mbili ujumbe huu kwa kugusa kitufe cha kioo cha kukuza kwenye soga. Kutoa njia rahisi ya kutafuta ujumbe ambao umesambazwa mara nyingi kunaweza kusaidia watu wengi kutafuta matokeo ya taarifa au vyanzo vingine vya habari kuhusu maudhui waliyopokea.

Kipengele hiki hufanya kazi kwa kuruhusu watumiaji kupakua ujumbe kupitia kwenye kivinjari bila WhatsApp kuuona ujumbe wenyewe.

Tafuta kwenye wavuti inazinduliwa kuanzia leo Brazil, Italia, Ireland, Meksiko, Uhispania, Uingereza na Marekani kwa wale wenye toleo la hivi karibuni la WhatsApp ya Android, iOS na WhatsApp Web.

Agosti 3, 2020

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)