Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Vituo vya WhatsApp Vinaenea UlimwengunI

Leo tunafurahi kuzindua Vituo vya WhatsApp kwa zaidi ya nchi 150 na kutoa njia ya faragha ya kupokea masasisho ambayo ni muhimu kwako. Tunakaribisha maelfu ya mashirika, timu za michezo, wasanii na viongozi wenye busara ambao watu wanaweza kufuata, ndani ya WhatsApp.

Ikiwa wewe ni mgeni kwa Vituo, lengo letu ni kujenga huduma ya utangazajiya faragha zaidi kuwahi kuwepo. Vituo ni tofauti na soga zako, na unayechagua kufuata haonekani kwa wafuasi wengine. Pia tunalinda maelezo ya kibinafsi ya wasimamizi na wafuasi.

Tumethamini maoni yote mazuri kutoka kwa mwanzo wetu katika nchi kumi. Tunapopanua Vituo duniani kote, tunaleta masasisho yafuatayo:

  • Saraka Iliyoboreshwa - sasa unaweza kupata vituo vya kufuata ambavyo vinachujwa kiotomatiki kulingana na nchi yako. Unaweza pia kutazama vituo ambavyo ni vipya, vinavyotumika zaidi na maarufu kulingana na idadi ya wafuasi.
  • Maoni - unaweza kujibu kwa kutumia emoji ili kutoa maoni na kuona hesabu ya jumla ya maoni. Jinsi unavyojibu haitaonyeshwa kwa wafuasi.
  • Kuhariri - hivi karibuni, wasimamizi wataweza kufanya mabadiliko kwenye Masasisho yao kwa hadi siku 30, tutakapoyafuta kiotomatiki kwenye seva zetu.
  • Kusambaza - wakati wowote unaposambaza Sasisho kwa soga au vikundi utajumuisha kiungo cha kurudi kwenye kituo ili watu wapate kujua zaidi.

Huu ni mwanzo tu, na tutaendelea kuongeza vipengele zaidi na kupanua Vituo kulingana na maoni tunayopata kutoka kwa watumiaji. Katika miezi ijayo, pia tutamwezesha mtu yeyote kufungua kituo.

Iwapo ungependa kusikia kuhusu masasisho zaidi ya bidhaa moja kwa moja kutoka kwetu, sasa pia tumezindua Kituo cha WhatsApprasmi ili kukuarifu kuhusu kile tunachounda.

Tarehe 13 Septemba 2023

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)