Pakua
Vipengele
Kupiga simuUjumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalama
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidiziKwa Biashara
Ingia
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Mandhari ya gumzo yanayodhihirisha mtindo wako

Uliomba. Hii hapa! Tunaleta madhari ya gumzo, ili uweze kufanya gumzo zako ziwe zako kipekee kwa viputo vya kupendeza vya gumzo na mandhari mpya.

Mandhari ya gumzo: Geuza viputo vyako vya gumzo na uweke rangi uzipendazo kwenye mandharinyuma, vikiwa na chaguo nyingi za kuchagua. Chagua kutoka kwenye mojawapo ya mandhari yetu ya gumzo yanayobadilisha mandharinyuma na viputo vyako, au changanya na ulinganishe rangi ili kuendana vyema na mtindo wako.

Mandhari mapya: Ongeza furaha kwenye magumzo yako kwa kuchagua kutoka chaguo 30 mpya za mandhari, au bado unaweza kupakia mandharinyuma kutoka kwenye orodha ya kamera yako ili kuyafanya ya kipekee kabisa kwako.

Unaweza kutumia mandhari yayo hayo kwenye magumzo yako yote, au ufanye kila moja iwe maalum zaidi kwa mandhari tofauti. Vyovyote vile, mandhari yako ya gumzo yanaonekana kwako pekee. Unaweza pia kubadilisha mandhari ya vituo vyako.

Ili kubadilisha mandhari ya gumzo na vituo vyako vyote, nenda kwenye Mipangilio > Gumzo > Mandhari chaguomsingi ya gumzo. Ili kubadilisha upendavyo kila gumzo kibinafsi, bofya jina la gumzo juu ya skrini ya gumzo (kwenye iOS), au ubofye menyu ya nukta 3 (kwenye Android) > Mandhari ya gumzo.

Vipengele hivi sasa vinaanza kutolewa, na vitapatikana ulimwenguni kote katika wiki zijazo.

Tarehe 13 Februari 2025

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)