Pakua
Vipengele
Kupiga simuUjumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalama
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidiziKwa Biashara
Ingia
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Tunakuletea WhatsApp ya Apple Watch


Leo tunatangaza uboreshaji mkubwa wa kifundo cha mkono wako - programu mpya kabisa ya WhatsApp kwa ajili ya Apple Watch yako*. Hali hii mpya ya matumizi itakusaidia kuendelea kufuatilia mazungumzo yako bila kuhitaji kutumia iPhone yako.

Mbali na kusoma na kujibu ujumbe, kwa mara ya kwanza WhatsApp kwenye Apple Watch sasa itatumia vipengele vingi vilivyoombwa:

  • Arifa za simu: Unaweza kuona anayekupigia bila kuhitaji kuangalia iPhone yako.
  • Ujumbe kamili: Unaweza kusoma ujumbe kamili wa WhatsApp kwenye Apple Watch — hata ujumbe mrefu unaonekana moja kwa moja kutoka kwenye kifundo cha mkono wako.
  • Ujumbe wa sauti: Sasa unaweza kurekodi na kutuma ujumbe wa sauti.
  • Toa hisia kwenye ujumbe: Tumeongeza uwezo wa kutuma majibu ya haraka ya emoji kwa ujumbe unaopokea.
  • Hali bora ya matumizi ya midia: Utaona picha na vibandiko vilivyo wazi kwenye Apple Watch yako.
  • Historia ya gumzo: Unaweza kuona historia zaidi ya gumzo lako kwenye skrini unaposoma ujumbe.

Huu ni mwanzo tu wa kufanya WhatsApp kwenye Apple Watch yako kuwa hali ya matumizi bora zaidi. Kama kawaida, ujumbe na simu zako binafsi hubaki kuwa za faragha huku zikiwa na ufumbaji wa mwisho hadi mwisho. Tunatarajia kutoa utendaji muhimu hata zaidi kwa watu walio na Apple Watch katika siku zijazo.

*Programu mpya ya WhatsApp Apple Watch inahitaji Apple Watch Series 4 au zaidi, inayoendesha watchOS 10 au mpya zaidi.

Tarehe 4 Novemba 2025

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)