Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Kupiga simu vyema kwenye kompyuta ya mezani na simu ya mkononi

Tangu tuliporejesha Kupiga simu kwenye WhatsApp mwaka wa 2015, tumeendelea kuiboresha kwa kuanzisha simu za vikundi, simu za video na usaidizi wa mifumo mingi.

Leo tuna masasisho kadhaa yatakayofanya kupiga simu kwenye vifaa vyako kuwa mazuri na bora zaidi, yatakayoanza kutumika katika wiki chache zijazo:

  • Kushiriki skrini na sauti: Ni bora kwa kutazama video pamoja, sasa unaposhiriki skrini yako, unaweza kushiriki sauti yako pia.
  • Washiriki zaidi: Sasa unaweza kuwa na hadi watu 32 kwenye simu ya video kwenye vifaa vyako vyote.
  • Kuangazia mzungumzaji: Ona kwa urahisi ni nani anayezungumza kwa mzungumzaji kuangaziwa moja kwa moja na kuonekana wa kwanza kwenye skrini

Pia tunaangazia ubora wa sauti na video bila kuchoka, kwa simu nzuri zaidi bila kujali mahali ulipo. Hivi majuzi tulizindua kodeki ya MLow ambayo inaboresha utegemezi wa simu. Simu zinazopigwa kwenye vifaa vya mkononi hunufaika kutokana na kughairiwa kwa kelele na mwangwi kulikoboreshwa, hivyo kurahisisha kupiga simu katika mazingira yenye kelele, na simu za video huwa na ubora wa juu kwa wale walio na miunganisho ya haraka zaidi. Sauti ni shwari kwa ujumla, hata kama una muunganisho duni wa mtandao au unatumia kifaa cha zamani. Unaweza kusoma zaidi kuhusu kodeki ya MLow na kusikiliza tofauti katika ubora wa sautihapa.

Tutaendelea kufanya maboresho ya kupiga simu kwenye WhatsApp ili uweze kupiga simu za faragha za ubora zaidi popote ulipo duniani.

Tarehe 13 Juni 2024

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)