Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Tunakuletea Akaunti Nyingi kwenye WhatsApp

Ni nini bora kuliko kuwa na akaunti ya WhatsApp? Kweli, bila shaka ni kuwa na mbili.

Leo, tunaanzisha uwezo wa kuwa na akaunti mbili za WhatsApp unazoweza kuingia kwa wakati mmoja. Inasaidia kubadilisha kati ya akaunti - kama vile ya kazi yako na ya kibinafsi - sasa huhitaji tena kuondoka kila wakati, kubeba simu mbili au wasiwasi kuhusu kutuma ujumbe kutoka mahali pasipofaa.

Ili kusanidi akaunti ya pili, utahitaji nambari ya pili ya simu na kadi ya SIM, au simu inayokubali SIM nyingi au eSIM. Fungua tu mipangilio yako ya WhatsApp, bofya kwenye kishale kilicho karibu na jina lako, na ubofye "Ongeza akaunti". Unaweza kudhibiti mipangilio yako ya faragha na arifa kwenye kila akaunti.

Kama kumbusho, tumia WhatsApp rasmi pekee na usipakue miigo au matoleo bandia kama njia ya kupata akaunti zaidi kwenye simu yako. Ujumbe wako ni salama na faragha pekee unapotumia WhatsApp rasmi.

Tarehe 1 Juni, 2026

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)