Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Kuanzisha upya Kuhusu: Njia iliyoboreshwa ya kushiriki kile ambacho unafanya

Kwa wale ambao wametumia WhatsApp tangu mwanzo, mtakumbuka Kuhusu ilikuwa kipengele chetu cha kwanza. Hata kabla ya kuleta ujumbe wa faragha na salama ulimwenguni, tulifanya iwe rahisi kwako kushiriki haraka kile kinachotokea katika maisha yako. Leo tunaanzisha upya na kuboresha kipengele cha Kuhusu na kukifanya kionekane vizuri zaidi, kiwe kwa wakati, na rahisi kutumia.

Kwa zile siku ambazo ratiba yako ya shughuli haiwezi kutabiriwa - Kipengele cha Kuhusu kinaweza kuwaelezea wengine ni kwa nini huwezi kuongea au kile unachotaka kuzungumzia kuhusu ukitumia emoji na kifungu kifupi tu.

Sasa itakuwa rahisi kuona Kuhusu juu ya magumzo ya 1-1 na kwenye wasifu wako. Unaweza pia kujibu moja kwa moja kwa Kuhusu ya watu kwa kuibofya katika mazungumzo. Kuhusu itaisha baada ya siku moja, lakini unaweza pia kuchagua ipotee kwa haraka zaidi au kuiweka kwa muda mrefu utakaochagua. Nenda kwenye Mipangilio na ubofye 'Weka Kuhusu' ili uchague kipima muda chako.

Unaweza kuamua ni nani anayeona Kuhusu yako. Unaweza kuiweka ionekane tu na waasiliani wako, au uchague kuifanya ionekane zaidi katika mipangilio yako ya faragha.

Tunaitoa kwa kila mtu anayetumia kifaa cha mkononi kuanzia wiki hii.

Tarehe 20 Novemba 2025

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)