Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Ulinzi wa Faragha wa Hivi Karibuni wa WhatsApp: Mipangilio Kali ya Akaunti

Katika WhatsApp, tunafikiri unapaswa kuwa na uwezo wa kufanya mazungumzo ya faragha mtandaoni, kama vile ya ana kwa ana. Daima tutatetea haki hiyo ya faragha kwa kila mtu, kuanzia na usimbaji fiche wa mwisho hadi mwisho kwa chaguo-msingi. Lakini pia tunajua kwamba baadhi ya watumiaji wetu – kama waandishi wa habari au watu maarufu – wanaweza kuhitaji ulinzi mkali dhidi ya mashambulizi ya mtandaoni yasiyo ya kawaida na ya kisasa.

Ndiyo maana leo tunatangaza kipengele kipya, chenye mtindo wa kufuli kinachoitwa Mipangilio Kali ya Akaunti.

Ukiwasha kipengele hiki, mipangilio fulani ya akaunti itafunga mipangilio yenye vizuizi zaidi, na itapunguza jinsi WhatsApp yako inavyofanya kazi kwa njia fulani, kama vile kuzuia viambatisho na midia kutoka kwa watu ambao hawapo katika anwani zako. Unaweza kuwezesha Mipangilio Kali ya Akaunti – ambayo itaanza kutumika polepole katika wiki zijazo – kwa kwenda kwa Mipangilio > Faragha > Hali ya Juu.

Mipangilio Kali ya Akaunti ni mojawapo ya njia nyingi tunayotumia ili kukulinda kutokana na vitisho vya mtandaoni vya kisasa zaidi. Pia tumezindua lugha ya programu inayoitwa Rust chini chini ili kusaidia uhifadhi picha, video, na ujumbe wako kwa salama dhidi ya mambo kama vile programu za ujasusi, ili uweze kushiriki na kupiga gumzo ukiwa na uhakika. Ili kufahamu teknolojia zaidi, bofya hapa.

Januari 27, 2026

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)