Nenda kwenye maudhui
  • Mwanzo
  • Programu
    • Kupiga simuKutuma ujumbeVikundiHadhiVituoMeta AIUsalama
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
Pakua
Masharti na Sera ya Faragha2026 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Kupiga simu

      Endelea kuwasiliana kwa sauti na video.

    • Kutuma ujumbe

      Jieleze kwa vibandiko, sauti, GIF, na zaidi.

    • Vikundi

      Vipengele vya utumaji ujumbe unavyohitaji ili kuungana na vikundi.

    • Vituo

      Endelea kupata taarifa kuhusu mada unazojali.

    • Meta AI

      Pata msaada wa kitu chochote, yote kwa usalama na faragha kwenye WhatsApp.

    • Hadhi

      Shiriki maisha yako ya kila siku kwa picha, video na madokezo ya sauti.

    • Usalama

      Safu za ulinzi za kukusaidia kuwa salama.

  • Faragha
  • Kituo cha Usaidizi
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • Programu
IngiaPakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Kuleta Malipo ya WhatsApp kwa Watu na Biashara Ndogo Brazili

Tuna furaha kutangaza kwamba kuanzia leo tunaleta malipo ya kidijitali kwa watumiaji wa WhatsApp nchini Brazili. Watu wataweza kutuma pesa kwa usalama au kununua kutoka kwa biashara za ndani bila kuondoka kwenye soga zao.

Zaidi ya biashara ndogo na biashara maikro milioni 10 ni mapigomoyo ya jamii za Brazil. Inakuwa asili ya pili kutuma zap kwa biashara ili maswali yajibiwe. Sasa pamoja na kutazama katalogi ya duka, wateja wataweza kutuma malipo ya bidhaa pia. Kurahisisha malipo kunaweza kusaidia kuleta biashara zaidi kwenye uchumi wa kidigitali, na kufungua fursa mpya za ukuaji.

Zaidi ya hayo, tunafanya kutuma pesa kwa wapendwa kuwa rahisi kama kutuma ujumbe, jambo ambalo ni muhimu sana kwani watu wako mbali na wenzao. Kwa kuwa malipo kwenye WhatsApp yanawezeshwa na Facebook Pay, kwa siku za usoni tunataka kufanya uwezekano wa watu na biashara kutumia kadi hiyohiyo kwenye familia ya programu za Facebook.

Tumeunda malipo tukizingati usalama na PIN maalum ya tarakwimu sita au alama ya kidole itahitajika kuzuia miamala isiyoruhusiwa. Kwa kuanza, tutawezesha kadi za malipo au mikopo kutoka kwa Banco do Brasil, Nubank na Sicredi kwenye mitandao ya Visa na Mastercard -na tunafanya kazi na Cielo, kiongozi wa kichakataji cha malipo Brazil. Tumeunda modeli wazi kuwakaribisha washiriki zaidi siku za usoni.

Kutuma pesa au kununua kwenye WhatsApp ni bure kwa watu. Biashara zitalipa gharama za uchakataji ili kupokea malipo ya wateja, sawa na wanavyolipa tayari wanapokubali miamala ya kadi za mikopo.

Malipo kwenye WhatsApp yanaanza kusambazwa kote Brazil kuanzia leo na tunatarajia kuyaleta kwa wote tunavyoendelea mbele.

Tarehe 15 Juni 2020

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma Zetu

VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara

Sisi ni nani

Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha

Tumia WhatsApp

AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web

Unahitaji msaada?

Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap