Nenda kwenye maudhui
  • Nyumbani
    • Tuma ujumbe faraghaniKaa mtandaoniJenga jumuiyaJielezeWhatsApp ya biashara
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
Pakua
Masharti ya Huduma2023 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma Ujumbe Faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Kaa mtandaoni

      Fikia wateja wako ulimwenguni.

    • Jenga jumuiya

      Mazungumzo ya kikundi yamerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • WhatsApp Business

      Fikia wateja wako popote walipo.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
WhatsApp WebPakua
Blogu ya WhatsApp

Kuleta Programu ya WhatsApp Business kwa iPhone

Mojawapo ya maombi ya mara kwa mara tumeyasikia kutoka kwa wamiliki wa biashara ndogo ni wanataka kutumia Programu ya WhatsApp Business kwenye kifaa cha chaguo lao.

Sasa wanaweza.

Leo tunawajulisha kwa Programu ya WhatsApp Business ya iOS. Kama toleo la Android - ambayo kwa mwaka uliopita inatumiwa na mamilioni ya biashara duniani kote - Programu ya Biashara ya WhatsApp ya iOS itakuwa bure kupakua kutoka kwenye Duka la Programu la Apple na itajumuisha vipengele vya kusaidia biashara ndogo na wateja kuwasiliana. Haya ni pamoja na:

  • Jalada la Biashara: Shirikisha habari muhimu kuhusu biashara yako kama maelezo ya biashara, barua pepe au anwani za duka, na tovuti.
  • Zana za Ujumbe: Wajibu kwa wateja kwa urahisi na zana za ujumbe za ufanisi - majibu ya haraka kutoa majibu ya haraka kwa maswali yanayoulizwa mara kwa mara, jumbe za salamu kuwajulisha wateja kwa biashara yako na jumbe za kuwa mbali kuwajulisha wakati wa kutarajia jibu.
  • WhatsApp Web: Piga soga kutoka kwenye desktop yako ili kudhibiti mazungumzo na kutuma faili kwa wateja.

Programu ya WhatsApp Business inapatikana leo na hupakuliwa kutoka kwenye Duka la Programu nchini Brazil, Ujerumani, Indonesia, India, Meksiko, U.K. na U.S. Programu itajulishwa duniani kote katika wiki zijazo.

Hata kama ni duka la vitu vitamu la mtandao huko Ribeirão Preto, Brazil ambayo inafikia asilimia 60 ya mauzo yake kupitia WhatsApp Biashara au kampuni ya vitafunio vya mdalasini iliyopo Tijuana, Meksiko ambayo inasifia WhatsApp Biashara kwa kuisababisha ifungue eneo la pili, wamiliki wa biashara ndogo duniani kote wanatumia programu kukua. Tunafurahi kuleta programu ya WhatsApp Business kwenye biashara ndogo zaidi na kusikia hadithi mpya kuhusu jinsi inavyowasaidia kufanikiwa.


Aprili 4, 2019

TweetShiriki
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsAppPakua
Huduma ZetuVipengeleBloguHadithiKwa Biashara
Sisi ni naniKutuhusuKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsAppAndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Mtandaoni
Unahitaji Msaada?Wasiliana NasiKituo cha MsaadaVirusi vya Korona
Pakua

WhatsApp LLC 2023 ©

Masharti ya Huduma