Vipengele
Kupiga simuUtumaji ujumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalamaVidhibiti vya mzazi
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidizKwa Biashara
Ingia
Pakua
Pakua
Rudi kwenye Blogu
Blogu ya WhatsApp

Tunakuletea Katalogi za Biashara Ndogo

Watu wanapenda kupiga soga kwenye WhatsApp na biashara wanazopendelea, lakini kubadilishana ujumbe na picha nyingi ili kupata maelezo ya bidhaa kunachosha. Leo tunarahisisha kupata maelezo kuhusu bidhaa na huduma biashara zinazotoa kwa kukuletea katalogi kwenye programu ya WhatsApp Business.

Katalogi ni rafu ya duka rununu kwa ajili ya biashara kuonyesha na kushirikisha bidhaa zao ili watu wanaweza kuvinjari kwa urahisi na kugundua kitu ambacho wangependa kununua. Zamani biashara zililazimika kutuma picha za bidhaa moja kwa wakati mmoja na kurudia kutoa maelezo - sasa wateja wanaweza kuona orodha yao kamili kwenye WhatsApp. Hii inawafanya wamiliki wa biashara waonekane kitaalamu zaidi na inawafanya wateja kujiingiza kwenye soga bila kutembelea tovuti.

Kama Agradaya, biashara endelevu ya mimea na viungo iliyo Indonesia. Tulimpa mwanzilishi Andhika Mahardika ufikiaji wa kipengele cha orodha mapema na alituambia kwamba kinafanya wateja wapate maelezo kwa urahisi kuhusu bidhaa zao, kujua bei na kuona picha za wanazotoa - hii ni muhimu kwa kuwahudumia wateja wao kwa ubora.

Kwa kila kitu kwenye orodha, biashara inaweza kuweka maelezo yakiwemo bei, maelezo na msimbo wa bidhaa. WhatsApp inapangisha orodha hizi ili kuokoa nafasi muhimu ya hifadhi kwenye simu za biashara na wateja wote.

Kuunda orodha kwenye programu ya WhatsApp Business inachukua tu hatua chache. Tazama video ili kuanza:


Kipengele hiki cha katalogi kinapatikana leo kwa biashara zinazotumia programu ya WhatsApp Business kwenye Android na iPhone nchini Brazili, Ujerumani, India, Indonesia, Meksiko, Uingereza na Marekani. Kitaanza kutumika kote ulimwenguni hivi karibuni. Tuna hamu kubwa kusikia jinsi katalogi zinasaidia biashara ndogo kuungana na wateja wao na kukua.


Tarehe 7 Novemba 2019

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma zetu

  • Vipengele
  • Blogu
  • Usalama
  • Kwa ajili ya Biashara

Sisi ni nani

  • Kuhusu sisi
  • Taaluma
  • Kituo cha Chapa
  • Faragha

Tumia WhatsApp

  • Simu
  • Desktop
  • Kompyuta kibao
  • WhatsApp Web

Unahitaji msaada?

  • Wasiliana Nasi
  • Kituo cha Usaidizi
  • Programu
  • Ushauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap
  • Afrikaans
  • azərbaycan
  • Bahasa Indonesia
  • català
  • čeština
  • dansk
  • Deutsch
  • eesti
  • English
  • español
  • Filipino
  • français
  • Gaeilge
  • hrvatski
  • italiano
  • Kiswahili
  • latviešu
  • lietuvių
  • magyar
  • Melayu
  • Nederlands
  • norsk bokmål
  • o‘zbek
  • polski
  • Português (Brasil)
  • Português (Portugal)
  • română
  • shqip
  • slovenčina
  • slovenščina
  • suomi
  • svenska
  • Tiếng Việt
  • Türkçe
  • Ελληνικά
  • български
  • қазақ тілі
  • македонски
  • русский
  • српски
  • українська
  • עברית
  • اردو
  • العربية
  • فارسی
  • मराठी
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • ਪੰਜਾਬੀ
  • ગુજરાતી
  • தமிழ்
  • తెలుగు
  • ಕನ್ನಡ
  • മലയാളം
  • ไทย
  • 한국어
  • 日本語
  • 简体中文
  • 繁體中文(台灣)
  • 繁體中文(香港)